Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Dr Slaa apata mapokezi ya kitemi Misungwi

photo11KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willbrod Slaa akijumuika kucheza ngoma ya kisukuma iliyokuwa ikitumbuizwa na katika Kijiji cha Lubili, Misungwi, Mwanza. Dkt. Slaa alifika kijijini hapo akiwa katika mizunguko ya mikutano ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Kata ya Lubili. Anayeonekana kushoto akishangilia kwa kupiga makofi ni Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere.

photo

photo11KIKUNDI cha ngoma ya kisukuma kutoka Kijiji cha Lubili, wilayani Misungwi kikicheza ngoma mbele ya umati wa wananchi wa Kijiji cha Lubili waliofika kumsikiliza Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willbrod Slaa ambaye alifika katika vijiji vya Kata ya Lubili, kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata hiyo, Nigwa Kabusinza Businza

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO