Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Viongozi wa SUK washiriki Swala Ya Idd Zanzibar pamoja

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwa pamoja na Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein (wanne kutoka kushoto)akiomba dua pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar

Viongozi na baadhi ya Wananchi wakiomba dua Baada ya kumaliza Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar. Picha na maelezo kwa hisani ya Mjengwa Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO