Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mkutano wa Chadema kufunga kampeni za udiwani Kata ya Daraja Mbili, Arusha jana

DSCN5837Aliekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiimbisha “makananda chipukizi” watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa Chadema wimbo wa “peoplez power’

DSCN5848

DSCN5870Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa

DSCN5849Mgombea wa Chadema, prosper msofe akipungia wananchi waliojitokeza kwa wingi mkutanoni, eneo la Mwisho wa Lami, Daraja Mbili

DSCN5818Wasanii chipukizi

DSCN5834Lema akifanya utambulisho wa vijana wa chama hicho walipshambuliwa na CCM juzi eneo hilo hilo

DSCN5827Bibi na mjukuu wake wakiserebuka uwanjani

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO