Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kamanda wa Chadema “Omary Matelephone” afiwa na mama yeke!

DSC05730Mama mzazi wa Kamanda wa Chadema maarufu Jijini Arusha, Omary ‘Matelephone’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo hospitalini Mkoani Dodoma na anatarajiwa kuzikwa mkoani humu baada ya taratibu za kuaga mwili wa marehemu kukamilika (Blog hii haijaweza kufahamu siku rasmi ya maziko). Pichani Omary anaonekana akiwa katika vazi lenye nakshi za rangi zinazotumiwa na Chadema. Wakati wa kampeni za Ubunge wa Arumeru Mashariki ambapo Joshua Nassari (CHADEMA) aliibuka mshindi, Omary alitekwa na watu wasiojulikana kwa siku kadhaa kwa maswala ya kisiasa.

DSCN0604Omary Matelephone, mwenye t-shirt nyeusi kushoto katika moja ya harakati zake kisiasa mapema mwezi Mei mwaka huu Mkoani Kilimanjaro.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO