Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Picha ya mwanamke aliyeelezwa kuwa na marehemu Barlaw kabla ya kuuawa ni feki?

An obese black woman

Picha hii imetumiwa na baadhi ya magazeti ya Tanzania na kuzungushwa sana kwenye mitandao ya kijamii ikielezwa kuwa ni picha ya Doroth Moses, Mwalimu anaedaiwa kuwa alikuwa na aliekuwa RPC wa Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlaw usiku wa kuuawa kwake. Tetetsi zilidai alikuwa ni mpenzi wake.

Blog hii imeweza kunasa picha hii katika mtandao mwingine wa maswla ya wanawake na urembo, kama inavyoonekana hapo juu. Unaweza kutembelea wavuti hiyo kupitia hapa na pia unaweza kujionea kipande cha picha hii kilivyotumika katika gazeti moja wapo kwa kubofya hapa. Utofauti huu umegundulika pia kupitia mitandao ya kijamii

MAUAJIYABARLOW fekiHiki ni kijisehemu cha gazeti mojawapo nchini (jina linahifadhiwa) lililoripoti tukio hilo na kumhusiha mama huyu pichani

SAM_5762Namna picha hii inavyoonekana kwenye mtandao huo wa urembo www.thegrio.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO