Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

James Ole Millya afuzu mtihani kuwa Wakili wa Mahakama Kuu, anasubiri kuapishwa

SAM_4619Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambae awali alikuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Ng James Ole Millya alifanya mtihani wa kumuwezesha kuwa Wakili wa Mahakama Kuu jana katika ofisi za Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

Kwa kufuzu mitihani hiyo, hivi sasa Millya ni Wakili wa Mhakama Kuu lakini bado anasubiri kuapishwa na chombo husika, zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaa mwezi wa kumi nambaili mwaka huu.

Blog hii inampa James Ole Millya Hongera Nyingi kwa mafankio hayo katika kujiendeleza kitaaluma.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO