Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BREAKING NEWS: Katibu wa BAKWATA Arusha amelazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo

kaBlog hii imepokea taarifa muda huu kuwa Katibu wa BAKWATA Arusha alietambuliwa kwa jina la Abdulkarim Jonjo, amelazwa hospitali ya Mount Meru kama anavuoonekana pichani baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo na kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu la kutengeneza kienyeji.

Tunaomba radhi kwa ubora hafifu wa picha hii. Baadae kidogo tutakuletea taarifa kamili
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO