Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MY SPECIAL DAY OCTOBER 21, AT MUSEUM AND HOUSE OF CULTURE, KARIBU!

Habari marafiki, (Facebook na blogs), Mimi Andrew Chale,  Napongeza wale wote wanaoshirikiana nami bega kwa bega kwa Habari njema ni kuwa October 21, siku ya Jumapili, majira ya saa 5:30 asubuhi nitakuwa nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa na watoto mbalimbali ndani ya viunga vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni - iliyopo Posta mpya jirani na Chuo cha IFM.

Tayari watoto 20, wakiwemo wale kutoka kwenye vituo vya kulea watoto waishio kwenye mazingira hatarishi wameonesha kuja kushiriki nami na kufurahia pamoja nami.

Kwa hali hiyo kuna nafasi 10, za watoto wengine kujumuika nami hivyo ukiwa rafiki wa karibu kama utapenda wasiliana nami ilimwanao nae awe kwenye moja ya siku muhimu ya kusheherekea nami (Kama utapenda).

..Watoto watapata kufurahia kwa pamoja na watatembelea makumbusho ndani ya jumba hilo lote na surprise zingine mbalimbali.

..Pia nachukua nafasi hii kujipongeza mwenyewe na pia kuwapongeza marafiki waliomo facebook ambao pia walisaidia kwa kiwango kikubwa ikiwemo mimi kushinda 'SHEHEREKEA NA TIGO' na siku hiyo kampuni ya Tigo Tanzania... itakuwa sambamba nami tukifurahia kwa pamoja na keki yangu maalum na mambo mengine. asante.

Shukrani kampumi ya tigo Tanzania, Mitindo house, Umra Orphanage center, Gazeti la Tanzania Daima, Mtoto wa kitaa blogs na wengineo wengi.

Pia kwa rafiki ambaye angependa kuungana nami kuna nafasi 10, na kama unachochote unataka kuwafikishia watoto waweza kuja nacho ama kututumia waweza kuwasiliana nami nyote kwa pamnoja kwa simu; +255719076376 au +255767076376.

Asante nyote.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO