Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UVCCM wapeana kipigo laivu kwenye uchaguzi

UVCCM wapeana kichapo laivu UVCCM wapeana kipigo laivu kwenye uchaguzi [VIDEO]

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, uchaguzi wa jumuiya ya umoja wa vijana wa CCM, UVCCM mkoani Mara, ulikumbwa na songombingo nguo kuchanika baada ya vijana hao kuzua ugomvi na kupeana kichapo cha nguvu. Kwenye vurugu hizo, licha ya kutwangana ngumi, wadau hao walirushiana viti, mawe na silaha mbalimbali za jadi ndani na nje ya ukumbi wa mkutano jambo ambalo lilisababisha mkutano huo kuvunjika. Kong’oli hapa kujionea video ya tukio zima.

Source: ITV

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO