Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA kufanya Mkutano wa kushukuru wananchi kwa ushindi wa Daraja Mbili leo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa Mkoa wa Arusha kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kuwashukuru wananchi wa Kata ya Daraja Mbili ya Jijini hapa kwa kumchagua mgombea wa chama hicho, Prosper Msofe Mziray kuwa a 21Diwani wa Kata hiyo katika uchaguzi uliofanyika jana.

Mkutano huo utafanyika kuanzia majira ya alasiri hii leo eneo la Blue Rock (Mwisho wa Lami) Daraja Mbili.

Chadema waliweza kuibuka washindi katika uchaguzi wa jana katika kata hiyo baada ya kuibuka na jumla ya kura 2156 dhidi ya 1286 alizopata mgombea wa CCM!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO