Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Tamasha maalum la promosheni ya Ndovu lilivyofanyika jijini Arusha

Meneja wa bia ya Ndovu,Pamela Kikuli akishuhudia wageni waaalikwa na wateja wa kinywaji hicho wanavyohudumiwa mara baada ya kuwasili kwenye tamasha maalum la promosheni ya bia hiyo Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ambapo wateja wakinywaji hicho walikusanyika pamoja na kuburudika. Pichani ni Mbunifu wa mavazi Ally Remtulah akionjeshwa kinywaji hicho.

Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli (kulia), akibadilishana mawazo na Denise Rosiello miongoni mwa wadau wa kinywaji hicho pamoja na mdau mwengine kushoto wakati wa promosheni hiyo.

 Baadhi ya wageni waalikwa wakipokelewa eneo maalum ambapo walipata na kinywaji hicho.

Msanii wa kundi la Dance Team Africa la Arusha akionyesha mbwembwe zake kwenye kucheza miziki ya aina mbalimbali wakati wa tamasha maalum promosheni ya bia ya ndovu kwa wateja wa kinywaji hicho na wageni waalikwa jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Picha kwa hisani ya Father Kidevu

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO