Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ziara ya viongozi wa Bavicha Ujerumani yafana

Heche Ujerumani 2Mwenyekkti wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), John Heche akihutubia katika mkutano wa Junge Union, Berlin Ujerumani

Heche Ujerumani 1JOHN HECHE akiwa mkutanoni Berlin kumkaribisha BI ANGELA MARKEL aliekuwa anaingia uwanjani na BAVICHA walipewa nafasi ya kuutubia Jumamosi ya Oktoba 6, 2012!

Heche UjerumaniHeche katika mitaa ya Jiji la Berlin, shuka la kimaasai limewakilisha

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO