Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RUFAA YA LEMA YAVUNJA REKODI YA MAHUDHURIO YA WANANCHI MAHAKAMA KUU ARUSHA LEO

SAM_4573Wakili Lissu alieungana na Wakili Kimongolo kumtetea Lema katika rufaa yake kupinga kuvuliwa ubunge akiwa ndani ya Mahakana hii leo kabla ya kuaza zoezi la kupitia hatua za awali katika usikilizaji wa rufaa hiyo.

SAM_4576Majaji wakijipanga kabla ya kuanza kazi yao..

SAM_4577Mh Lema ambae alikata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga kuenguliwa ubunge akiwa ndani ya Mahakama kufuatilia hatma ya shauri lake.

SAM_4598Umati uliokitokeza katika viwanja vya mahakama kusikiliza shuri la Lema hii keo Mahakama Kuu Arusha.

SAM_4593

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO