Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DStv kufanya mabadiliko katika vipindi vyake kuanzia Oktoba mosi

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multchoice Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya mabadiliko ya Chanel za DStv yatakayoanza tarehe 1 Oktoba mwaka huu, hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.Kutoka kulia ni Benny Kisaka kutoka Jambo Leo, Gerald Hando kutoka Clouds na Sebbo wakiwa katika hafla hiyo.

William Malecela na wadau wengine wa Multichoice wakiwa katika hafla hiyo.

Kutoka kulia ni Mamaa Shamimu wa Zeze kutoka 8020fashionblog akiwa na mzee wa Mtaa kwa Mtaa Othman Michuzi na mzee wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku.

Kutoka kushoto ni Mdau Zaunul kutoka Mo Blog , Andrew Chale kutoka Tanzania Daima na Mwesa kutoka Mhariri mkuu wa Jambo leo.

Kwa hisani ya mdau  FATHER KIDEVU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO