Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mechi ya kirafiki baina ya Simba na JKT Oljoro iliyofanyika jana mjini Arusha

Mkuu wa Mkoa Arusha Bw.Magesa Mulongo ambae alikuwa mgeni rasmi akiasalimiana na Mshambuliaji wa Timu ya Simba Mrisho Ngassa na Taifa Stars kabla ya  mpambano wa kirafiki baina ya Simba ya Dar es Salaam na JKT Oljoro ya Arusha kuanza jana.  Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja Sheihk Amri Abeid jijini Arusha, Simba iliibuka na ushindi wa magoli 2-1.

Timu ya JKT Oljoro wakiwa wanasalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo

Kikosi cha Simba katika picha ya pamoja. Timu hiyo bado imeweka kambi jijini Arusha ikisubiri kucheza na timu ya Nairobi City Septemba 2 mwaka huu

Kikosi cha KJT Oljoro katika picha ya pamoja (PICHA NA: PAMELLA MOLLEL wa JAMII BLOG)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO