Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taarifa ya ziara ya viongozi wa Chadema DMV

Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tawi la Chadema DMV, Marekani unawakaribisha waTanzania wote kuhudhuria mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Sept 1,2012, 

Mkutano huo utaanza rasmi mida ya saa 4:PM (Kumi za Jioni)

Wageni rasmi wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi  

ADDR. Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740

Nyote  Mnakaribishwa Chakula vinywaji Bure

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO