Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Alex Song Aanza Maisha Mapya Barcelona

Welcome: Alex Song poses for the photographers after arriving at the Nou Camp on Monday

Fan's favourite: Alex Song shakes hands with Barcelona supporters following his switch

Alex Song akisalimiana na mashabiki wa Barcelona mara baada ya kuwasili

Welcome: Barcelona's president Sandro Rosell (left) shakes hands with Song

Rais wa  Barcelona Sandro Rosell (left) akimkaribisha Song kwa kupeana mikono 

Switch: Song will have to fight for a place in Barcelona's team of superstars

Hope that's not your contract! Song signs autographs for his new fans

Song akisaini autographs kwa mashabiki wa Barcelona, klabu yake mpya aliyosaini nayo Mkataba wa miaka 5 kwa dau la £15millioni

Rekodi yake Arsenal

Katika misimu saba aliyoichezea Arsenal, amecheza mechi 138. Ametoa pasi 7,312 ambazo kiasi cha  85.46% zilikuwa na macho. Ametibua mashambulizi (tackles) 402  na kufanikiwa 309 ambazo ni sawa na 77%. Ametengeneza nafasi za magoli 120

Atavuna kiasi cha £70,000 kwa wiki akiwa Barcelona tofauti na £55,000. Kikubwa kinachoelezwa kumuondoa Song pale Arsenal ni tofauti ya kipato kati yake na mastaa wengine kama angeedelea kubaki pale sambamba na utovu wa nidhamu aliouonesha wakati wa maandalizi ya msimu mpya.

Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2190896/Alex-Song-arrives-Barcelona-seal-Arsenal-exit.html#ixzz24ASbLbMI

Source: http://www.dailymail.co.uk

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO