Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Slaa azuiwa na Wananchi akielekea kwenye Mkutano ili awahutubie katika ziara ya M4C Morogoro



Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa amesimamishwa njiani na Wananchi ili awahutubie alipokuwa akielekea kwenye Mkutano wa Operesheni Sangara inayoendelea Wilaya Kilombero Mkoani Morogoro. Video hii ilipotiwa katika mtandao wa You Tube 9 August 2012.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO