Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Joseph Mbilinyi (Sugu) tayari yupo Mjini Houston Texas Marekani kwa ajili ya mkutano wa CHADEMA kesho Agosti 25, 2012

imageMbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu, tayari yuko nchini Marekani ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika shughuli ya ufunguzi wa tawi la Chadema Houston Texas hapo kesho mida ya 5pm Addr: Marriot Hotel Westchase 2900 Briar Park 77042 Houston Texas.

Pamoja na mambo mengine, wanachama na wapenzi wa Chadema nchini humo watapata nafasi ya kujadili mustakabali wa maendeleo ya Tanzania kwa ujumla wake.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO