Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Operesheni Sangara Ya CHADEMA Yavuna Wanachama Wapya Ulanga Mashariki,Kijiji cha Nkonongo

Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.

Wanachama Mbalimbali wa CHADEMA Walishangiliaa'' Peopleeeeeeeee'''''

Wapenzi na Washabiki wa Chadema wakijiandikisha na Kuchukua kadi mpya za uanachama Ulanga Mashariki, Kijiji cha Nkonongo.

Picha Zote na CHADEMA kupitia Rundugai Bglog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO