Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE JANA ALHAMIS AUGUST 16, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa India hapa nchini Mhe Debnath Shaw leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa India hapa nchini Mhe Debnath Shaw baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa Hispania hapa nchini Mhe Luis Manuel Cuesta Civis leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa Hispania hapa nchini Mhe Luis Manuel Cuesta Civis baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea jijini Maputo,nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC.

Rais Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Tanga waliojitokeza kumsindikiza baada ya kushiriki kwenye futari waliyomwandalia jana jijini humo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Jiji la Tanga juzi Agosti 15, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Jiji la Tanga juzi Agosti 15, 2012.PICHA NA IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO