Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

FFU wa Ngoma Africa band walipofanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi 11.80.2012

FFU wa Ngoma Africa  band walipofanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi 11.080.2012.

Maonesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la "IDA- International Diaspora Award"  ambapo mshindi wa Tuzo hiyo ni Ngoma Africa band ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabiki katika kila kona diniani.

Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award"  imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU.

Wasikilize live kupitia tovuti yao  www.ngoma-africa.com pia ungana nao  katika mitandao ya kijamii www.twitter.com/ngomaafrica

FFU wa Ngoma Africa wakitembeza mitutu, Tubingen 2012FFU wa Ngoma Africa wakitembeza mitutu, Tubingen 2012

bassist wa FFU na mtutu wakebassist wa FFU na mtutu wake

Chris-B,soloistChris-B,soloist

FFU wakiwa kazini TubingenFFU wakiwa kazini Tubingen

IMG_0371

Gwaride la FFUGwaride la FFU na show dancer Jesse kwa nyuma

jukwaa la FFU limevamiwa na washabikiwashabiki wamevamia jukwaa la ffu,walinzi mashaka hewani

Ras Makunja na award,akipongezwa na wadaukamanda Ras makunja na Award akipongezwa na mdau, na picha ya chini pia

kamanda Ras makunja na Award akipongezwa na mdau

Picha zote na Maelezo: Mdau Msema Kweli

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO