Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE AZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III) KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe Steven Wassira

KWA PICHA ZA MATUKIO ZAIDI KONG’OLI HAPA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO