Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Lema afungua matawi ya CHADEMA Daraja Mbili Arusha na kuvua magamba

DSC05126

DSC04950Aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kabla ya Mahakama kutengua Ununge wake, Mh Godbless Lema (jukwaani – garini) akizunumza na wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha juzi August 18,2012 alipokwenda kwa ajili ya uzinduzi wa matawi ya chama ico katika Kata hiyo.

*****

Katika ziara iyo, Lema aliambatana na Mbune wa Arumeru Masariki (CADEMA) M Josua Nassari pamoja na aliekuwa Mwenyekiti wa UVCCM kabla ya kujiengua na kujiunga na Chadema mapema mwezi Aprili mwaka huu, Ndg James Ole Millya, ambao nao kwa nyakati tofauti walipata fursa ya kuzunumza.

Mbali na suuli za uzinduzi na upokeaji wanacama wapya, Lema alifanya arambee ya kukusanya feda kusaidia shughuli za chama hicho katika Kata hiyo ambapo jumla ya S 219,500 zilizcanwa na wananchi.

Akiondoka eneo hilo, Lema alilazimika kuwatuliza mamia ya watu waliokuwa wanafuatilia msafara wake ili kuepusha kutokea mwanya kwa watu wenye nia mbaya kuleta vurugu na uharibifu wa mali. Baadae msafara wake ulienda ulikatiza mitaa ya Stand Kuu ya mabasi makubwa na kisha kuelekea bustani ya City Park huku njiani akishangiliwa sana na baadhi ya watu wakinyoosha vidole kuelekezana Nassari alipo ndani ya gari.

DSC05146Baadhi ya wanachama wapya wakiombea kununua kadi za uanachama. Zaidi ya kadi 150 za chama hicho zilinunuliwa katika mjumuiko huo.

DSC05054

DSC05147

DSC05141Makamanda hawa wa chadema kama walivyojitambulisha, walikuwa kivutio kikubwa kwa wananchi waliojitokeza kushuhudia ufunguzi huo kutokana na aina ya mavazi yao na namna walivyokuwa wametupia mavazi yenyewe. Hawa ndio watenenezaji wakubwa wa bidhaa nyingi Mjini Arusha zenye kubeba sura na muelekeo wa uchadema, wanapatikana kwa namba 0715 544444 au 0767 037010.

Picha zote na James Lyatuu wa “the arusha report”

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO