Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MBOWE KUFUNGUA TAWI LA WANACHADEMA WAISHIO HOUSTON TEXAS MAREKANI AUGUST 25, 2012

 

Viongozi na Wananchama wa Chadema USA wanapenda kuwatangazia waTanzania wote na wapenda maendeleo kuwa siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jijini Houston Texas, Marekani. Wageni rasmi katika ufunguzi huo watakuwa ni Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Jodeph Mbilinyi (aka Sugu)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO