Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KONGAMANO LA MAAFISA UNUNUZI NA UGAVI SERIKALINI LAFANYIKA MJINI MOROGORO KATIKA UKUMBI WA NASHERA HOTEL KUANZIA TAREHE 23/5 HADI 24/5/2013.

IMG_4138Kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Bw. Bunare Daniel, Mkurugenzi Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Wizara ya Elimu Bw. Jacob Kibona, Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala Wizara ya Fedha Bi. Deodatha Makani, Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Dkt. Frederick Mwakibinga akitoa ufafanuzi, Mkurugenzi Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Wizara ya Habari Bi. Anna Chungu na Kamishna Msaidizi Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Bw. Alex Haraba.

 IMG_4142

Watoa mada katika kongamano hilo, kutoka kushoto ni Mtengaji Mkuu wa wakala wa ununuzi na huduma serikalini Bw. Josephat Mwambega, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi Bw. Clemence Tesha, Eng. Ronald Lyatuu kutoka Idara ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Mkurugenzi wa Usimamizi wa mali za Serikali Bw. Ezra Msanya.

 IMG_4145Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Mhakikimali mkoa wa Morogoro Bw. Khamis Simba, Meneja Mkoa Morogoro wakala wa Ununuzi na huduma Serikalini Bw. Moses Kitangalala wakisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinajibiwa.

 IMG_4153Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma ambaye ndiye mwenyekiti wa kongamano hilo Dkt. Frederick Mwakibinga akitoa maelekezo kwa wajumbe waliohudhuria.

 IMG_4177Kutoka kushoto ni Bi. Flora Mduma, Revocatus Chuwa, Michael Luzigah na Alex Haraba ambao ni baadhi ya sekretarieti katika kongamano hilo.

 IMG_4182Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi katika Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Samson Akyaoo akichangia mada katika kongamano hilo.

 IMG_4188

Afisa Ugavi kutoka Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Bw. Bulley Mwambete akiuliza swali kwa watoa mada.

 IMG_4253

Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Mipango ya maendeleo Zanzibar Bi. Fatma Jaha akiuliza swali kwa watoa mada.

 IMG_4292

Dkt. Mwakibinga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.

 IMG_4312

Naibu Waziri wa Fedha Bi. Janeth Mbene ambaye ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa kongamano hilo akiwahutubia wagavi hawapo pichani.

 IMG_4352

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Bi. Janeth Mbene katika picha ya pamoja na sekretarieti ya maandalizi ya kongamano hilo.

 Picha na Ingihedi Mduma na Eva Valerian, Wizara ya Fedha

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO