Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira:Mbunge wa Iringa Mjini-Chadema Mch.Peter Msigwa Afikishwa Mahakamani Chini ya Ulinzi Mkali Kwa Tuhuma Za Uchochezi

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kikiwa tayari kukabiliana na lolote linaloweza kutokea katika viunga vya Mahakama ya Mkoa wa Iringa.

Mbunge wa Iringa mjini-Chadema mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), akishuka katika gari la Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Mkoa leo akikabiliwa na tuhuma za uchochezi.

PICHA KWA HISANI YA HAKINGOWI.COM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO