Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Matukio zaidi Ziara ya Mbowe Jimboni Kwake.. Atoa Vifaa Vya Michezo Kwa Vijana!

Mbowe akitoa jezi KiaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwakabidhi viongozi wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mtakuja FC ya Mtakuja, Yusuf Idd (kushoto) na Rasud Juma (katikati) zawadi ya jezi na mipira kwa ajili ya timu hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dorice Cornel na Katibu Mwenezi wa chama hicho wilayani Hai, Simon Mnyampanda. Kiongozi huyo yuko katika ziara ya wiki mbili jimboni kwake kuzungumza na wananchi wake

Mbowe akitoa jeziHapa Mh Freeman Mbowe akimkabidhi nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Wazawa FC ya KIA, Efati Mwasumbi, zawadi ya Jezi na mipira kwa ajili ya timu hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la chama hicho (BAVICHA) Dorice Cornel.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO