Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SYDNEY WILHELM GIDABUDAY - MTOTO WA MWANAHARAKATI WA MCHEZO WA RIADHA "GIDABUDAY" ASHINDA MBIO ZA "32OOM CIF CHAMPIONSHIPS - CALIFORNIA MAREKANI ".

 


Kijana Sydney Wilhelm Gidabuday mmarekani mwenye asili ya kitanzania na mtoto wa mwanaharakati wa mchezo wa riadha nchini Tanzania "Wilhelm Gidabuday" anaendelea kufuata nyayo za baba yake baada ya kutwaa ushindi katika mashindano ya riadha yaliyofanyika huko California nchini marekani.

SYDNEY WILHELM GIDABUDAY

Sydney Gidabuday anayetimiza miaka 18 mwakani akiwa ni raia wa marekani huko California, anazidi kukamata tuzo mbali mbali za mashindano ya riadha huko California, ambapo mwaka 1994 baba yake ambae ni mtanzania na mzalendo wa mchezo wa riadha alishikilia ubingwa wa riadha huko California Marekani.

SYDNEY WILHELM GIDABUDAY  - akiongoza mashindano ya riadha ya 32OOM CIF CHAMPIONSHIPS; huko California Marekani

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO