Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SOMA HAPA HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANIBUNGENI MHE. HALIMA JAMES MDEE (MB) KUHUSU MAPITIO YAUTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2012/2013 NA MAKADIRIO YA MAPATONA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KWA MWAKA WA FEDHA 2013/14

Mbunge wa Jimbo la Kawe-Chadema na Waziri Kivuli wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi Halima Mdee

KONG’OLI HAPA KUISOMA HOTUBA YOTE

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO