Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ziara ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe, akikagua Ujenzi na Uhai wa chama (Chadema) ngazi ya misingi/vitongoji ambapo anakutana na kuzungumza na viongozi wa misingi hiyo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa chama hicho Kijiji cha Mtakuja, Mzee Ally Mbatia. Mbowe yuko katika ziara ya kukagua uhai na kuimarisha ujenzi wa chama katika ngazi ya chini kabisa ya chama hicho, msingi, kwenye maeneo ya vitongoji mbalimbali katika vijiji vya Jimbo la Hai

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na wananchi maeneo ya vitongoji mbalimbali katika vijiji vya Jimbo la Hai.

Picha na Tumaini Makene

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO