Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CRDB YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JWTZ KUPITIA AKAUNTI YAKE YA TANZANITE

 

Brigedia Jenerali wa JWTZ, Paul Peter Massao akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei Makao Makuu ya Jeshi hilo.

Mazungumzo

Luteni Jenerali, Paul Mella akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vilivyotolewa na benki ya CRDB kupitia akaunti yake ya Tanzanite kwa ajili ya wapiganaji wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.

Luteni Jenerali, Paul Mella akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa wapiganaji wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.

Wapiganaji walioshiriki zoezi la kulinda amani nchini Darfur

Wapiganaji walioshiriki zoezi la kulinda amani nchini Dafur

Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na benki hiyo kupitia akaunti yake ya Tanzanite, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samwel Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samwel Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba akifafanua jambo wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo kutoka benki ya CRDB

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba akifafanua jambo wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo kutoka benki ya CRDB.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiagana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiagana na Lutni Jenerali, Paul Mella, huku Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Samweli Ndomba akiagana na Meneja Wateja Binafsi, Farida Mbwana Hamza.

Meneja wa Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Farida Mbwana Hamza (kulia), Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite, Lucy Naivasha, na Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo wakiwa na  Brigedia Jenerali, Paul Peter Massao.

Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na wapiganaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Meneja Mahusiano wa Benki  ya CRDB, Godwin Semunyu akimpa maelekezo Meja Erick Komba wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.

PICHA ZOTE NA MUHIDIN MICHUZI

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO