Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2013 HAYA HAPA! ANGALIA NA MAJINA YA WALIOFANYA VIZURI KIDATO CHA NNE 2012

Baraza la Mitihani na Taifa (NECTA) limetoa orodha ya matokeo rasmi ya Kidato cha Sita 2013

Unaweza kubofya Link 1 na Link 2 kuangalia
Pia ukitaka kuona orodha rasmi ya wanafunzi waliofanya vizuri kidato cha nne kong’oli hapa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO