Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub akinyanyua ubingwa wa ligi kuu ya VODACOM msimu wa 2012/2013. Hadi filimbi ya mwisho matokeo yalikuwa Young Africans 2 - 0 Simba SC, magoli yaliyofungwa na  Kavumbagu ddk 4, na Kiiza dkk 63

    Haruna Shamte akipambana na Simon Msuva wa Yanga...

    kikosi cha Simba kilichoanza hii leo....

    Makocha wa Yanga Ernst Brandts pamoja na Felix Minziro wakijadiliana jambo.....

    Sir Juma Nature pia alikuwepo kutoa burudani.....

  Hili ndo lilikuwa bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Didier Kavumbagu kwa kichwa....

   Mrisho Ngassa akiwa amevalishwa jezi ya YANGA kwa mara nyingine tena huku akiwa amefurahi kweli kweli...

Mwamuzi wa mchezo wa leo Saanya akiwa chini mara baada ya kuumia....

PICHA ZOTE NA SHAFFIH DAUDA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO