Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira : Rais Kikwete, Rais Mstaafu wa Nigeria Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa Wazindua Rasmi Jengo La Sayansi Katika Kituo Cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni Jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakiteta jambo baada ya kuzindua rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakiangalia aina mbalimbali ya mihogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo baada ya uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa baada ya uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakionja mikate iliyotengenezwa kwa unga wa muhogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakisikiliza maelezo ya kitaalamu juu ya utafiti wa maradhi ya migomba toka kwa Profesa Rony Swennen  wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na akiangalia katika darubini vimelea vya magonjwa ya mihogo vilivyo katika sehemu ya utafiti baada ya kuzindua rasmi  rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso E. Lenhardt  pamoja na  Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mhe. Tonia Kandiero    wakati wa uzinduzi  rasmi  rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chifu Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa akihutubia wakati wa  uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo wakisiliza maelezo ya tafiti mbalimbali za mihogo baada ya kuzindua rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mazungumzo na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo baada ya uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu  wa Nigeria na Balozi wa heshima wa  IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa katika picha ya pamoja na wadau wa maendeleo bnaada ya kuzindua rasmi  jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.Picha na IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO