Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Prof Muhongo "Apiga Stop" Ongezeko La Bei Ya Umeme Kama Lilivyotangazwa na EWURA

Barua ya Waziri mwenye dhamana ya Umeme, Profesa Sospeter Muhongo kwenda EWURA kusimamisha zoezi la utozaji bei mpya kwa huduma za umeme n...
Soma Zaidi

Naibu Waziri Utalii, Mhandisi Makani Atoa Ufafanuzi Wa Taarifa Za FARU JOHN, Apiga Marufuku Taasisi Kutoa Maelezo ya Sakata zima

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (kulia) akizungumza katika kikao cha wadau wanaohusika na mgogoro wa pori tenge...
Soma Zaidi

MBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA (CUF) AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI MWAKE

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari  wakati...
Soma Zaidi

Hali ya Biashara Nchini: Maduka 1872 Yafungwa Dar na Arusha Katika Miezi Mitatu Pekee

Gazeti la Nipashe limenukuu taarifa ya Waziri wa Fedha Dk Philip Mpango na kuripoti kuwa wamiliki wa takribani maduka 1872 katika mikoa y...
Soma Zaidi

Mbunge wa Rombo Joseph Selasini Kusherehekea Mwaka Mpya Kwa Kupanda Miti na Wananchi Wake

Mbunge wa Rombo Mh Joseph Selasini (CHADEMA) ataongoza mamia  ya vijana na wanajamii wengine katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti j...
Soma Zaidi

Mbunge Cecilia Paresso apata ajali ya gari akitokea Arusha kurudi Karatu usiku.

Nanja, Arusha. Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Mh Cecilia Pareso na baadhiya madiwani wa Karatu wamenusurika katika ajali mbaya ya gari u...
Soma Zaidi

Bei ya Uniti ya Umeme yapanda kwa 8.5%

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti w...
Soma Zaidi

NEC: MAAMUZI YA RUFAA ZA MAPINGAMIZI YA WAGOMBEA WA UBUNGE NA UDIWANI KATIKA UCHAGUZI MDOGO

Kwa mujibu wa kifungu cha 40 (6) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ilipokea Rufaa moja ya kupinga Uteuzi wa Mgombea w...
Soma Zaidi

HALMASHAURI YA KINONDONI YASAINI MKATABA WA BIL 22 KWA MIRADI YA KUBORESHA JIJI

  Na Amina Kibwana,Globu ya jamii Halmashauri ya manispaa ya kinondoni imezindua utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa jiji la dar es ...
Soma Zaidi

NAIBU WAZIRI MALIASILI ATOA WIKI MBILI KWA WAFANYAKAZI NGORONGORO KUWASILISHA TAARIFA ZA MAJENGO YAO NDANI YA HIFADHI

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wila...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO