Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Picha ya Siku: Mbuzi wakivuka barabara eneo maalumu la kuvukia bila mchunga

Picha hii iliyopigwa na Halima Kambi wa Nipashe inaonesha wanyama mbuzi wakivuka barabara katika mistari ya zebra eneo la Magomeni Hospitali Jijini Dar es Salaam siku ya Disemba 18, 2016 bila kuwa na mtu  wa kuwaangalia, hali  iliyosababisha kero kwa watumiaji wa barabara ingawa ni kituko pia.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO