Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kafulila Ajiondoa NCCR na Kuhamia CHADEMA

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) ambaye pia David Kafulila (pichani) leo ametangaza kukihama chama chake cha sasa(NCCR-Mageuzi) na kuelezania yake ya kujiunga na CHADEMA, na tayari amewasilisha barua ya kujiondoa.
 
"Ili kufanya safari kuwa fupi, kuondoa vikwazo vya huyu yuko chama hiki mwingine kile nimeamua kujiunga na CHADEMA ili kurahisisha uletaji mabadiliko katika nchi yetu sababu nimeona uhitaji huo," amesema Kafulila

David Kafulila. Picha na Mwananchi


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO