Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Bei ya Uniti ya Umeme yapanda kwa 8.5%


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema umemeumependa kwa asilimia 8.5badala ya asilimia 18.19 kama walivyoomba TANESCO na kwamba mabadiliko hayo yataanza ramsi Jumapili ya Januari mosi 2017.

Akifafanua zaidi Ngamlagosi amesemaongezekohilo halitamuathiri mtumuaji wa umeme nyumbani anayetumia umeme usiozidi uniti 75, ambaye kwa kawaida hutambuliwa kuwa ni wa kundi D1 na mahitaji yao huwani madogo. 
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO