Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

VAZI LA KHANGA KUTUFUNGIA MWAKA 2016 PALE REGENCY PARK HOTEL DON’T MISS!
Ni jambo la kufurahisha kutoka kwenye Tasnia Mitindo hapa Tanzania kutokana na jinsi ambavyo wadau hao wa mitindo wamejipnga kufanya maajabu ya ki-Fashion katika tukio kubwa la kuuaga mwaka 2016 na Vazi la Khanga, kupitia ile event matata maarufu kama “Khanga Party “ Party ya kijanja ambayo huandaliwa kila mwaka na Mama wa Mitindo maarufu kama  Asya Idarous Khamsin.

KONG'OLI HAPA KUANGLIA VIDEO

Katika Party hiyo kutakuwa na Designers wa kutosha plus wadau mbalimbali wa mitindo  bila kusahau Surprise kibao za Burudani ziki pambwa na mitoko ya Khanga. Kumbuka Party hii itafanyikia pale Regency Park Hotel siku ya Jumamosi 31/December /2016 kuanzia mida ya saa mbili kamili usiku.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO