Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BEN POL ALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA MJENGONI CLUB USIKU WA CHRISTMAS


Displaying
20161226_004941.jpg
Mwanamuziki wa kizazi nkipya akiwasalimia wakazi wa Arusha mara baada ya kuingia katika ukumbi wa mjengoni Club awalikuwa wanamsubiria kwa shauku kubwa.Picha na Vero Ignatus Blog.
Displaying
20161226_004732.jpg
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ben Pol akiwa anawapa burudani wakazi wa Jijini Arusha katika usiku wa kushehrerkea sikukuu ya Chrismass kwa katika ukumbi wa mjengoni Club.Picha na Vero Ignatus Blog.
Displaying
20161226_020244.jpg
Waru wakila bata batandi katika usiku wa kusheherehekea sikukuu ya Christmas katika ukumbi wa mjengoni Club,na Mjengoni Classic Band pamoja na Ben Pol ilikuwa sheeda.Picha na Vero Ignatus Blog
Displaying 20161226_020229.jpg
Watu mbalimbali walifurahia Sikukuu ya Chrisrimas ndani ya Mjengoni Club,na Mjengoni Clsssic Band iliyopo Olasiti Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog.
Displaying 20161226_020229.jpg

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO

Na.Vero Ignatus Arusha

Mwanamuziki wa kizazi kipya Ben Pol ambapo kwa watu wengi wanamtambua kwa wimbo wake wa moyo mashine amezikonga nyoyo za wakazi wa Arusha walipokuwa wakisheherekea sikukuu ya Christimas katika ukumbi wa Mjengoni Club uliopo Olasiti Jijini Arusha.

Awali kuliibuka uvumi kuwa msaniii huyo hatatokea katika shoo hiyo katika usiku huo wa kusheherekea sikukuu christimas jambo ambalo lilizua sintofahamu kwa baadhi ya watu walioingia ukumbini hapo kwaajili ya kumuona Ben Pol.

Blog hii ilipata muda wa kuzungumza na mkurugenzi wa Mjengoni Klub John Mdeme pamoja na Kiongozi wa Bendi ya Mjengoni Classic Robert Mukongya ili kutaka kufahamu kuhusiana na uvumi huo ndipo walipojibu kwa kusema kuwa hayo ni maneno tu ya upotoshaji .

"Jamani sijui nani kazileta taarifa hizi kwani Ben tulikuwa nae mchana kwenye shoo ya watoto ,sasa haya yametoka wapi binadamu bwana!mimi nakuaminisha Ben yupo na watu wote waliopo hapa watafurahi na kuburudika mioyoni mwao wala wasitie shaka"alisisitiza John.

Aidha mkurugenzi huyo alisema kuwa waliamua kuwaandalia kitu kizuri wakazi wa Arusha kwa bendi ya Mjengoni Classic pamoja na Ben Pol kuwepo kuwapa raha wakazi wa Arusha na wageni mbalimbali kutoka nje ya Arusha na nchi mbalimbali waliokuja kusheherekea sikukuu wapate ladha tofauti na nzuri.