Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Azomewa Mbele ya Waziri wa Ardhi


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, Alexander Mnyeti amezomewa na waandishi wa habari mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya kumsukuma mmoja wa waandishi wakati wakimuomba kumtoa mwandishi wa ITV, Khalfan Liundi aliyewekwa mahabusu kwa amri yake juzi kwa kile kilichodaiwa ni kuripoti mgogoro wa maji katika Wilaya hiyo, taarifa ambayo ilionekanakamani uchochezi.

Kwa stori kamili tembelea Nipashe hapa kujua ilivyokuwa na unaweza pia kusoma Ushauri kwa maDC wengine wanavyapaswa kutekeleza wajibu wao!
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO