Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Baba Mzazi wa Mbunge Lema, MzeeJonathan Elibariki Lema Alivyoazimisha na Wajukuu Kutimiza Miaka 75 Tangu Kuzaliwa

Baba mzazi wa Mbunge wa Arusha Mjini, Mzee Jonathan Elibariki Lema wa Nronga Machame Kilimanjaro akiwa na wajukuu zake ambao ni watoto wa Mbunge Godbless Jonathan Lema ambaye yuko mahabusu kisongo akisubiri uamuzi wa dhamana yake kwakesi ya uchochezi aliyofunguliwa na Jamhuri, katika tukio la kuadhimisha kufikisha uamri miaka 75 tarehe ya leo Disemba 26, tangu kuzaliwa.  

Mzee Jonathan Elibariki Lema 

Mtoto wa mbunge Lema, Allbless Jonathan Lema akimvisha taji babu yake

Mke wa Mbunge Lema, Neema Tarimo Lema akiwa na ndugu wengine wa familiaSelfie ya babu na wajukuu


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO