Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA Njombe Kujenga Jengo binafsi la Ofisi ya Chama, Wameshapata kiwanja.

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njome Mhe. Lucia Mlowe akikabidhi hati ya kiwanja na ramani ya jengo la ofisi ya Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe kwa Katibu Mkuu wa chamahicho Dr. Vincent Mashinji.
Makamu Mwenyekiti Zanzibar (mwenye koti jeusi) akiwa ameongozana na wabunge Mhe Paschal Haonga na Mhe Cecilia Paresso, wakifungua Ofisi ya Kata ya Mkwajuni, jimbo la Songwe, na kuongea na wanachama wa Jimbo hilo, katika muendelezo wa ziara ya viongozi wa CHADEMA Taifa na wabunge inayoendelea katika Kanda ya Nyasa.Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO