Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAZIRI LUKUVI AWAPA HATI ZA KUMILIKI ARDHI WATU JAMII YA HADZABE


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh William Lukuvi amewapatia hati miliki za ardhi kwa watu jamii ya Hadzabe wanaoishi Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Pichani Waziri Lukuvi akimkabidhi hati mmoja wa wananchi hao
Ungana na Ankal MICHUZI SOMA ZAIDI HAPA 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh William Lukuvi (mwenye shati la silver mikonomirefu) akiwana baadhi ya viongozi wa Serikali Wilayani Karatu Mkoani Arusha.Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO