Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Meya Kalisti: Tuongeze Mshikamano, Lema Hakuwahi Kunyimwa Dhamana Atapata Haki Yake

"Ndugu zangu wanaArusha na watanzania,  kesi ya Mh Lema imeendelea tena hadi jioni hii (jana Disemba 16,2016) na uamuzi wa rufaa ya dhamana yake itatolewa tarehe 20 Dec 2016 saa 6 mchana.
Kwa niaba ya Mh Lema na kwa niaba ya madiwani na wanachama (wa CHADEMA) nawashukuru kwa kuvumilia siku nzima mahakamani leo. Naishukuru mahakama kwa kuendelea na shauri hii siku nzima bila kuchoka. Hakika Jaji ameonyesha uvumilivu wa hali juu bila hata kupumzika.
Tuendeleze mshikamano wetu tutapata dhamana kwani hatukuwahi kunyimwa dhamana katika kesi hii zaidi ya sarakasi za mwakili wa Serikali kucheza na pingamizi na kutupotezea muda.
Mungu yu nasi daima.
Meya wa Jiji la Arusha, Mh Kalist Lazaro"
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO