Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH. MRISHO GAMBO AMALIZA MGOGORO WA MAJI MAKILENGA

      Mkuu Wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (katikati) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Mnyeti(kushoto0 wakiwalia katika kijiji cha Nkoasenga kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa maji Makilenga.

Mhandi wa Maji Happy Mrisho (aliyesimama)  akiwasilisha taarifa ya mradi  kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani) wakati wa kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa  Maji Makilenga
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Makilenga waliohudhuiria kwenye Mkutano wa hadhara
     Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alaxander Mnyetiakizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga kwenye Mkutano wa hadara.

     Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (aliyesimama mbele) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga kwenye Mkutano wa hadhara

     Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga wakifurahia makubaliano yaliyofikiwa katika ya Serikali na kijiji hicho ya kulipa Tsh 1500 kwa huduma ya maji mwezi mzima kwa wanaotumia mabomba ya Kijiji

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO