Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Serikali Inakaribisha Maoni wa wadau Kuhusu Kanuni za Sheria Mpya ya Habari Nchini. Soma maelekezo hapa

Wizara ya inayohusika na masuala ya Habari inawaalika wananchi wote kutoa maoni yao na mapendekezo kuhusu kanuni zitakazosimamia tasnia ya habari nchini kama tangazo hili linavyoeleza
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO