Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

POLISI WALIOMDHALILISHA MCHUNGAJI WAKUFUZWA KAZI

Image result for jeshi lapolisi
Askari Polisi wanne mkoani Kilimanjaro, waliotuhumiwa kumtengenezea tukio la ushoga mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wamefukuzwa kazi. Polisi hao, walidaiwa kumkamata mchungaji huyo na mwanamume mwingine katika nyumba moja ya kulala wageni wilayani Hai, kumshurutisha avue nguo, kumpiga picha na kudai awalipe Sh10 milioni

Soma zaidi kupitia Mwananchi
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO