Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mbowe akiongoza kikao cha ndani kufanya tathmin ya Uhai wa CHADEMA Mbeya Mjini leo

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe akifungua kikao cha ndani chachama hicho kinachojumuisha viongozi kuanzia ngazi ya Msingi hadi Mkoa kujadili hali ya kisiasa kwa chama  hicho Jijini Mbeya leo.
Pichani ni wajumbe na viongozi wakiwa katika Kikao cha ndani kukagua uhai wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Nyasa kwa Mkoa wa Mbeya leo.

Kikao hicho kinaongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe ambaye ameambatana na viongozi wengine wa Kamati Kuu ya chama hicho na wabunge mbali mbali.
Baadhi ya viongozi wa Kamati Kuu ya Chadema na Wabunge wakiwa ukumbini
Sehemu ya meza kuu
Wajumbe wa mkutano wakifuatilia hotuba za viongozi


Picha zaidi kutoka ukumbini
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO